VIDEO MYA: MAN FONGO KAACHIA NYINGINE IITWAYO ''SAFI TU''
Baada ya kutamba na single za ‘Hainaga Ushemeji’ na ‘Kibaka’ ambazo zimetayarishwa na producer Mensen Selekta, mara hii staa wa Sengeli Man Fongo ametuletea hii single mpya inaitwa ‘Safi tu’.
Kuitazama bonyeza Play hapa chini

No comments: